Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba
alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kwa ziara ya
kikazi ya kusikiliza kero za Wabunge
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba
alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kwa ziara ya
kikazi ya kusikiliza kero za Wabunge
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akikabidhiwa kipeperushi na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg.
Hosea Kashimba alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma,
Kwa ziara ya kikazi ya kusikiliza kero za Wabunge, Kulia ni Afisa
Uhusiano Mwandamizi wa PSSSF, Ndg. Abdul Njaidi
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akisalimiana na Balozi wa Angola nchini Tanzania, Mhe. Sandro
De Oliveira alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na Balozi wa Angola nchini Tanzania, Mhe. Sandro
De Oliveira (katikati) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akizungumza na ugeni kutoka Ubalozi wa Angola, ulioongozwa na Balozi wa
Angola nchini Tanzania, Mhe. Sandro De Oliveira (kushoto kwake), wageni
wengine ni Wabunge wa Tanzania ambao ni Wawakilishi kwenye Jukwaa la
Kibunge la SADC walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(watatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja wakati akikabidhiwa zawadi
ya kitabu na Balozi wa Angola nchini Tanzania, Mhe. Sandro De Oliveira
(wa pili kulia), Wageni wengine ni Wabunge wa Tanzania ambao ni
Wawakilishi kwenye Jukwaa la Kibunge la SADC walipomtembelea leo Ofisini
kwake Bungeni Jijini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
0 comments:
Post a Comment