Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
akivuta utepe kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Stendi Kuu
ya Mabasi inayojengwa katika mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
wa mkoa wa Dodoma akitoka kukagua maendeleo ya ujenzi wa Kituo hicho
Kikuu cha Mabasi mkoani Dodoma ambapo ujenzi wake upo mbioni kukamilika.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Waziri
Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda kabla ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa
Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa
Dodoma kabla ya kuwahutubia katika eneo la wa Stendi Kuu ya Mabasi
mkoani Dodoma.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Selemani
Jafo,akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ,awahutubia wananchi wa
Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya
Mabasi mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ,akiwahutubia wananchi wa
Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya
Mabasi mkoani Dodoma
Sehemu ya wanachama wa CCM
wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli (hayupo pichani) wakati akiwahutubia wananchi wa
Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya
Mabasi mkoani Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa msisitizo kwa
wananchi wa Dodoma wakati akiwahutubia mara baada ya kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma
Mkuu wa wilaya ya Dodoma
Mhe.Patrobas Katambi pamoja na Meya wa Jiji la Dodoma, Prof David
Mwamfupe na baadhi ya viongozi wa CCM Mkoa wa Dodoma wakifurahi jambo
wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John
Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Dodoma mara baada ya kuweka
jiwe la msingi ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.
Sehemu ya wakuu wa wilaya za
Dodoma na wabunge wakifatilia hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia
wananchi wa Dodoma mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Stendi
Kuu ya Mabasi mkoani Dodoma.
Sehemu ya Stendi Kuu ya Dodoma kama inavyoonekana pichani.
Picha na Alex Sonna na Ikulu
0 comments:
Post a Comment