METDO Tanzania

METDO Tanzania

Wednesday, October 30, 2019

Waziri Dkt. Mwakyembe Afungua Jukwaa la Utengenezaji Maudhui na Usambazaji wa kazi za Sanaa (BDF)

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Wengine ni Mtangazaji kutoka Clouds Media Group (Clouds Plus), Gift Swai (kushoto) na Isaya Kandonga (Kulia).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akifafanua jambo Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Mashairi ya Kughani, Mrisho Mpoto akieleza jambo Waandishi wa
Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya
filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Dkt. Kiagho Kilonzo Akifafanua Jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani), kuhusu Jukwaa la utengezaji maudhui mbalimbali ya filamu na Muziki na kusambaza (BDF) lililozinduliwa leo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com