Timu
ya wagakuzi kutoka Kitengo cha ukaguzi wa ndani Ofisi ya Waziri Mkuu na
watendaji wa Baraza la Taifa la Biashara wakimsikiliza Mratibu wa Mradi
wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC))
Bi.Imelda Hokororo akitoa amelezo kuhusu Kituo cha Biashara
kilichojengwa na Taasisi hiyo Wilayani Kakonko Mkoa wa Kigoma, timu hiyo
ilitembelea kukagua utekelezaji wa miradi hiyo Oktoba 24, 2019Mkuu
wa Wilaya ya Kakonko Kanali Hosea Maloda akizungumza jambo kwa Timu ya
ukaguzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu walipotembelea wilayani hapo kukagua
miradi inayotekezwa na Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC)) Kigoma.Msimamizi
wa masuala ya Fedha kutoka Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Bw.
Patrick Mavika akifafanua jambo kwa Kaimu Mkurugenzi wa Wilaya Kakonko
Bw. Christopher Bukombe (hayupo pichani) walipotembelea kukagua na
kujionea utekeleza wa miradi hiyo Oktoba 24, 2019 Mkoani Kigoma.Kaimu
Mkurugugenzi wa Wilaya Kakonko Bw. Christopher Bukombe akizungumza na
timu kutoka Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu
pamoja na watendaji wa TNBC walipotembelea kukagua na kujionea utekeleza
wa miradi hiyo Oktoba 24, 2019 Mkoani Kigoma.Mkulima
wa zao la mpunga katika Wilaya ya Kakonso Bw. Silveter Mtondo ambaye ni
miongoni mwa wanufaika wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara Local Investment Climate (LIC))
akiwaonesha Timu ya wakaguzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu pamoja na
Baraza la Taifa la Biashara namna kifaa cha palizi ya mpunga
kinavyotumika walipotembelea katika Wilaya hiyo.
0 comments:
Post a Comment