Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono kuaga baada ya kuongoza
mamia ya wananchi katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8
Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine na wadau
akikata utepe kuashiria kupokewa kwa ndege mpya aina ya Boeing 787-8
Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo wakisiliza maelezo toka kwa Kepteni Dennis Mshana mmoja
wa Marubani walioileta ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner kutoka
Seattle Marekani hadi katika katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya
pamoja na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama alipoongoza wananchi
katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya
pamoja na marubani na wanaanga waliokuja na ndege wakati alipoongoza
mamia ya wananchi katika mapokezi ya ndege hiyo mpya aina ya Boeing
787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya
pamoja na Viongozi wa Dini alipoongoza mamia ya wananchi katika mapokezi
ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba
26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine katika picha ya
pamoja na Wakuu wa Wa Taasisi Mbalimbali za Umma na Binafsi alipoongoza
wananchi katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8 Dreamliner
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Mzee Omary Mkali, mmoja
wa wazee waliofika katika mapokezi ya ndege mpya aina ya Boeing 787-8
Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kiti cha rubani Boeing
787-8 Dreamliner alipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Kepteni saidi Hamadi mmoja
wa Marubani walioleta ndege ya Boeing 787-8 Dreamliner kuoka Seattle
Marekani alipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
Mke wa Rais Mama janeth Magufuli
na Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa wakifurahia jambo baada ya Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuipokea
ndege mpya ya Boeing 787-8 Dreamliner katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26,
2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo ndani ya Boeing 787-8 Dreamliner alipoipokea katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Jumamosi Oktoba 26, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Majeshi Jenerali
Venance Mabeyo kwenye viti vya marubani wa Boeing 787-8 Dreamliner
alipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Jumamosi Oktoba 26, 2019
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment