Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea
uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.
Wananchi wa Ilonga wakishangilia
mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilonga mkoani Songwe.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha
kukoboa Kahawa cha GDM Limited kilichopo Mlowo Mbozi mkoani Songwe.
Wananchi wa Ruanda wakishangilia
mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.
Wananchi wa Mlowo wakimsikiliza
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment