![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/2-52-1024x532.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/1-61.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Viongozi wa Mkoa wa
Katavi, Mawaziri pamoja na Wabunge akivuta utepe kuashiria uwekaji wa
jiwe la msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi
ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora
katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/3-41-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Waziri wa
Nishati Dkt. Medard Kalemani mara baada ya kuweka la msingi mradi wa
umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya
msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi
zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/4-30-929x1024.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/5-27-1024x1018.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya
kuweka la msingi mradi wa umeme wa kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye
Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora
katika sherehe fupi zilizofanyika nje kidogo ya manispaa ya Mpanda.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/7-15-1024x729.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/8-14-1024x653.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi na
wafanyakazi wa Tanesco mara baada ya kuweka la msingi mradi wa umeme wa
kuunganisha mkoa wa Katavi kwenye Gridi ya Taifa kwa njia ya msongo wa
Kilovolti 132 kutoka mkoani Tabora katika sherehe fupi zilizofanyika nje
kidogo ya manispaa ya Mpanda.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/12-7-1024x832.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa
Isukumilo na Mpanda Sekondari wakati akielekea Wilaya Mpya ya
Tanganyika.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/14-4-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/13-6.jpg)
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Isukumilo na Mpanda Girls wakimsangilia wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama
katika barabara ya kuelekea katika Wilaya mpya ya Tanganyika.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/15-4-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia ramani ya
majengo ya hospitali ya Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wakati
akipewa maelezo na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo katika eneo la mradi
huo wa ujenzi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/16-4-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/17-4.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi wengine
wa mkoa wa Katavi, Wabunge pamoja na Mawaziri, akivuta utepe kuashiria
uzinduzi wa Ujenzi wa Hospitali za Wilaya ya Tanganyika, Mlele na
Mpimbwe mkoani Katavi mara baada ya kuwasili katika Wilaya hiyo mpya ya
Tanganyika.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/18-2.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapongeza Waziri wa
TAMISEMI Selemani Jafo pamoja na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu mara baada
ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/19-1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maelekezo kwa Mkuu
wa Wilaya ya Tanganyika Salehe Mhando mara baada ya kukagua ujenzi wa
Hospitali ya Tanganyika.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/20-2.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isaack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa barabara ya Mpanda-Ifukutwa-Vikonge
km 35 katika eneo la majalila Wilayani Tanganyika mkoani Katavi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/21-1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mke wake Mama
Janeth Magufuli, Mawaziri, viongozi wa mkoa wa Katavi pamoja na Wabunge,
akikata utepe kuashiria uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya
Mpanda-Ifukutwa-Vikonge km 35 katika sherehe zilizofanyika katika eneo
la majalila Wilayani Tanganyika mkoani Katavi.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/22-1.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa
Katavi Juma Homera mara baada ya kuzindua ujenzi wa barabara ya
Mpanda-Ifukutwa-Vikonge km 35 katika sherehe zilizofanyika katika eneo
la majalila Wilayani Tanganyika mkoani Katavi. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment