Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isaack Kamwelwe
kuashiria ufunguzi wa barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani
Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Kanazi mara baada ya kufungua barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika
Kanazi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli watano kutoka kulia walioshika utepe, Wabunge wa mkoa wa Rukwa,
Kamati ya Miundombinu, Mawaziri, akakata utepe kufungua barabara ya
Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
katika sherehe zilizofanyika Kanazi mkoani Rukwa.
Sehemu ya Barabara ya Sumbawanga-Kanazi km 75 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami kama inavyoonekana.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya chumba cha
hospitali ya Wilaya ya Nkasi mara baada ya kuweka jiwe la msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gril la dirisha la
moja ya chumba cha hospitali ya Wilaya ya Nkasi mara baada ya kuweka
jiwe la msingi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua kituo cha Afya
cha Nkomolo Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo,
Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugora, Mbunge wa Nkasi Ally Keissy,
akikata utepe kuashiria ufunguzi kituo cha Afya cha Nkomolo Nkasi mkoani
Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mbunge wa Nkasi
Ally Keissy mara baada ya kuweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya
Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli, wakiangalia zoezi la uandikishaji la wapiga kura wa Viongozi
wa Serikali za mitaa Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na mwanachi wa
Nkasi Albina Kasanya (74) ambaye alikuwa amemaliza kujiandikisha katika
kituo cha Hospitali ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wanafunzi wa
Shule za Msingi na Sekondari wa Nkasi waliokuwa pembezoni mwa majengo
ya hospitali ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa.
Sehemu ya Majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Nkasi ambayo ipo katika hatua za mwisho kukamilika Nkasi mkoani Rukwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Bi Paskalia
Mikael mara baada ya kusimama katika kijiji cha Chala mkoani Rukwa
wakati akielekea Nkasi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa
Chala mara baada ya kuwasili kijijini hapo.
Wanafunzi wa Kasu Sekondary
Wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika kijiji hicho.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa
Kasu mkoani Rukwa. PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment