![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m1-683x1024.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akivua viatu kabla ya kuingia na
hatimaye kuufungua msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo
Jumatatu Oktoba 7, 2019
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m2-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo toka kwa Shehe Mkuu wa
Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali kabla ya kuufungua msikiti wa
Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m3-683x1024.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa
Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine akikata utepe kuufungua
rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu
Oktoba 7, 2019
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m4-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Shehe Mkuu wa Mkoa wa Rukwa
Shehe Rashidi Akilimali na viongozi wengine wakiitikia dua inayoongozwa
na msaidizi wa Rais Alhaj Ali Masella baada ya kuufungua rasmi msikiti
wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m6-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi mchango wa shillingi milioni tano kwa asili ya
kukamilishia vifaa vya kuswalia kama vile mazulia Shehe Mkuu wa
Mkoa wa Rukwa Shehe Rashidi Akilimali akishuhuduiwa na viongozi wengine
baada ya kuufungua rasmi msikiti wa Istiqaama Bomani wa Mjini Sumbawanga
leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m8-1024x496.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m9-1024x477.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo Jumatatu Oktoba 7, 2019
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m11-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m12-1024x507.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/m14-1024x683.jpg)
Umati wa wananchi ukimsikiliza Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipowatuhutubia
katika Uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga mkoani Rukwa leo
Jumatatu
Oktoba 7, 2019
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment