Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua barabara ya
Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
pamoja na Daraja la Kavuu M 85.3 katika sherehe zilizofanyika katika
eneo la Kibaoni mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa
Kibaoni mkoani Katavi mara baada ya kuwasili wakati akitokea wilaya ya
Nkasi mkoani Rukwa.
Sehemu ya barabara ya
Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamila kujengwa kwa lami na kufunguliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli kama inavyoonekana pichani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa
Kibaoni mkoani Katavi mara baada ya kufungua barabara ya
Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6 iliyokamila kujengwa kwa lami pamoja na
Daraja la Kavuu M 85.3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Kizi mkoani Rukwa wakati akielekea Kibaoni mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Mulele wakati akielekea kufungua barabara ya Kanazi-Kizi-Kibaoni km 76.6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akichagua nyama ya porini
mara baada ya kujumuika na wadau mbalimbali, Wafanyakazi wa TANAPA,
Askari wa Wanyama Pori, Wabunge, Mawaziri katika mbuga ya wanyama ya
Katavi wakati akielekea Mpanda mkoani Katavi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia wanyama aina ya
viboko katika hifadhi ya Taifa ya Katavi mara baada ya kusimama wakati
akielekea Mpanda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa
Nsimbo mkoani Katavi mara baada ya kuwasili akitokea Kibaoni.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment