![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/1-37-1024x709.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/2-31-1024x694.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth
Magufuli watatu kutoka kulia aliyeshika utepe, viongozi wa mkoa wa
Rukwa, Mawaziri, viongozi wa Dini pamoja na Chama, akikata utepe
kuashiria ufunguzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika
Laela mkoani Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/3-26-1024x921.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria
uwekaji wa jiwe la Ufunguzi wa barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21
iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika
Laela mkoani Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/3.-1024x763.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na
viongozi mbalimbali mara baada ya kufungua barabara ya
Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami
katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/4-20-1024x710.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mtendaji Mkuu
wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Eng. Patrick Mfugale mara baada ya
kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga km 223.21 iliyokamilika
kujengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Laela mkoani
Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/5-15-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/14-1-1024x683.jpg)
Sehemu ya Barabara ya Tunduma
–Sumbawanga km 223.21 iliyofunguliwa leo na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli katika eneo la Laela
mkoani Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/6-7-1024x627.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa
Laela mara baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua barabara ya
Tunduma-Sumbawanga.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/7-8-1024x580.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/8-7-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/9-3-852x1024.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/10-3-1024x904.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Chiwanda Tunduma mkoani Songwe mara baada ya kusimama wakati akielekea
Sumbawanga mkoani Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/11-2-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/12-4-683x1024.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/13-3-1024x683.jpg)
Wananchi wa Ikana wakisangilia
mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kwenye eneo hilo wakati
akielekea Sumbawanga mkoani Rukwa.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/15-1-1024x840.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na maaskari wa
Jeshi la Polisi wakati akielekea kukagua kituo cha polisi cha Laela
mkoani Rukwa mara baada ya kufungua barabara ya Tunduma-Sumbawanga.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment