![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_0168.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda cha kuchambulia pamba cha
Biosustain, Dkt. Riyaz Haider, wakati alipotembelea kiwanda hicho
kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu).
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_0180.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha Biosustain,
wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya
Singida, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_0199.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia mbegu za pamba katika kiwanda cha kuchambulia pamba cha
Biosustain, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Mandewa, katika
Manispaa ya Singida, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa
kiwanda, Dkt. Riyaz Haider. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_0240.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akimpa zawadi ya cheti, fedha,na baiskeli, mkulima wa zao la pamba
kutoka Ikungi, Juma Shabani, wakati alipotembelea kiwanda cha
kuchambulia pamba cha Biosustain, kilichopo Mandewa, katika Manispaa ya
Singida, Oktoba 6.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/PMO_0223.jpg)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa,
akiangalia mtego wa molasis, wakati alipotembelea kiwanda cha
kuchambulia pamba cha Biosustain, kilichopo Mandewa katika Manispaa ya
Singida, Oktoba 6.2019. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa kiwanda, Dkt.
Riyaz Haider. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment