![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/1-32-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/2-28-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa
Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili Tunduma
mkoani Songwe kwa ajili ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za
Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/3-23-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zambia
Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakipita kwenye Gadi ya Heshma
iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mara baada ya
kuwasili katika eneo hilo la Tunduma mkoani Songwe.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/5-12-1024x683.jpg)
Wafanyakazi wa Kituo cha pamoja
cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania na
Zambia wakiwa tayari kwa kutoa huduma katika eneo hilo la mpakani.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/7-5-1024x685.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/7-6-1024x685.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/9-1-1024x660.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa
Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu wakati wakisalimia wananchi mara
baada ya kuwasili katika Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One
Stop Border Post) upande wa Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/8-5-1024x814.jpg)
Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar
Chagwa Lungu akifurahia hotuba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya ufunguzi wa Kituo cha
pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/12-2-1024x819.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/13-1-1024x456.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya
ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border
Post) upande wa Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/14-1024x821.jpg)
Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar
Chagwa Lungu kabla ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani
(One Stop Border Post) upande wa Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/15-1024x731.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Zambia
Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya ufunguzi wa Kituo cha pamoja
cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa Tanzania.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/16-1-1024x683.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/18-1024x683.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Rais wa Zambia
Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kuwasili katika eneo la
Nakonde Zambia.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/17-1-1014x1024.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na
Rais wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua
Kituo cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa
Nakonde Zambia
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2019/10/20-830x1024.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipanda mti pamoja na Rais
wa Zambia Mheshimiwa Edgar Chagwa Lungu mara baada ya kufungua Kituo
cha pamoja cha Huduma za Mpakani (One Stop Border Post) upande wa
Nakonde Zambia . PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment