Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea Mwenge kutoka kwa mmoja wa wakimbiaza Mwenge wa Uhuru, Nkwimba
Madirisha Nyangogo wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa
Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya
Nangumbu, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim
Mgandilwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akipokea Mwenge kutoka kwa mmoja wa wakimbiaza Mwenge wa Uhuru,Nkwimba
Madirisha Nyangogo wakati aliposhiriki katika mapokezi ya Mwenge wa
Uhuru wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya
Nangumbu, Oktoba 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikimbiza Mwenge wa Uhuru wakati ulipopokelewa kijijini kwake Nandagala
wilayani Ruangwa, Oktoba 9, 2019. Kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge
wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru wakati mwenge huo
ulipopokelea wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule ya Msingi ya
Nangumbu, Oktoba 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa ameubeba Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki katika mapokezi ya
Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika katika uwanja wa Shule ya
Misngi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa,
Hashim Mgandilwa na kushoto ni Kiongozi wa Mbio za Mwenge, Mzee Ali
Mkongea.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na wakimbiza Mwenge wa Uhuru wakati aliposhiriki
katika mapokezi ya Mwenge huo wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye
uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. Wa
tatu kushoto ni Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea na
wa nne kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim Mgandilwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimsikiliza Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea
wakati alipozungumza katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru wilayani Ruangwa
yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya Nangumbu wilayani
humo, Oktoba 9, 2019. Kulia ni Mkuu wa wilaya ya Ruangwa, Hashim,
Mgandilwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru, Mzee Ali Mkongea
wakati mwenge huo ulipopokelewa wilayani Ruangwa katika uwanja wa Shule
ya Msingi ya Nangumbu, Oktoba 9, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati aliposhiriki. Katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru
wilayani Ruangwa yaliyofanyika kwenye uwanja wa Shule ya Msingi ya
Nangumbu wilayani humo, Oktoba 9, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment