

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimaiana na Rais wa Urusi,
Vladimir Putin katika hafla ya kuwakaribisha Wakuu wa Nchi na Serikali
kutoka mataifa ya Afrika wanaoshiriki katika Mkutano baina ya Urusi na
Afrika unaofanyika Sochi nchini Urusi, Oktoba 23, 2019. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment