METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, October 15, 2019

LUKUVI AJIANDIKISHA KUPIGA KURA ISIMANI


Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akijiandikisha katika daftari la wapiga kura za uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Vijiji na Mitaa katika kituo cha Msimbo kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa jana.
Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akisubiri kujiandikisha katika daftari la wapiga kura za uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Vijiji na Mitaa katika kituo cha Msimbo kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa jana.
Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye ni Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi akiwa katika mstari na wananchi wa kijiji cha Idodi akisubiri kujiandikisha katika daftari la wapiga kura za uchaguzi wa viongozi wa Serikali za Vijiji na Mitaa katika kituo cha Msimbo kilichopo tarafa ya Idodi mkoani Iringa jana.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com