METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, March 16, 2020

RAIS DKT MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA DARAJA LA JUU UBUNGO NA BARABARA, AONGEA NA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI MBEZI MWISHO, MLOGANZILA, MLANDIZI NA CHALINZE



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea nyakati mbalimbali wakati akikagua ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze na pia kuongea na kusikiliza kero za wananchi Mbezi Mwisho, Mloganzila, Mlandizi na Chalinze leo Machi 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoa  na wananchi wa Mbezi Mwisho wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam  wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea  na wananchi wa Mlandizi  mkoani Pwani wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020
Wananchi wa Mlandizi  mkoani Pwani wakimshangilia Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa kukagua miradi ya ujenzi wa daraja la juu la Ubungo pamoja na barabara ya njia nane kutoka Ubungo-Chalinze leo Jumatatu Machi 16, 2020

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com