METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, March 16, 2020

RAIS DKT, MAGUFULI AKAGUA MIRADI YA BARABARA UBUNGO INTERCHANGE UAPUNUZI WA BARABARA YA MOROGORO KATIKA SEHEMU YA KIMARA-KIBAHA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipita kukagua Maendeleo ya ujenzi katika sehemu ya gorofa ya pili ya barabara  ya juu Ubungo Interchange ambayo iko katika hatua za mwisho kukamilika kwa ajili ya magari kuanza kupita. Mradi mzima wa Makutano hayo ya Ubungo umefikia asilimia 75.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakimsikiliza Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Patrick Mfugale wakati akielezea Maendeleo ya ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo, Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ujenzi wa Barabara za Juu katika Makutano ya Ubungo, Ubungo Interchange jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi waliokusanyika katika eneo la Mbezi Mwisho wakati akikagua ujenzi wa barabara ya Morogoro katika eneo la Kimara -Kibaha ambapo upanuzi wake unaendelea na umefikia asilimia 70. PICHA NA IKULU
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com