


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungumza na Wanahabari juu
ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu
Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi
Nchini,Mkutano uliofanyika Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo
Septemba 23, 2019.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa na Mawaziri nane wa Sekta
zinazohusika na Matumizi ya Ardhi alipokuwa akizungumza na Wanahabari
(hawapo pichani) juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais Dkt.John
Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa Migogoro ya
Matumizi ya Ardhi Nchini, Ofisi ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo
Septemba 23, 2019.


Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na
Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi mara baada ya
kuzungumza na Wanahabari juu ya utekelezaji wa Maagizo ya Mhe. Rais
Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi wa
Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini. Mkutano uliofanyika katika Ofisi
ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akizungmza na Waziri wa Ardhi
Mhe. William Lukuvi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya pamoja ya
Mawaziri nane wa Sekta zinazohusika na Matumizi ya Ardhi iliyoundwa na
Mhe. Rais Dkt.John Pombe Magufuli kuhusu Mapendekezo ya kupata ufumbuzi
wa Migogoro ya Matumizi ya Ardhi Nchini. Mkutano uliofanika katika Ofisi
ya Waziri Mkuu Jijini Dar es salaam leo Septemba 23, 2019. Picha na
Ikulu
0 comments:
Post a Comment