
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aki mfariji Mkuu wa
Majeshi Nchini Jenerali Vennas Mabeyo kutokana na kufiwa na Mtoto wake
aliyepatata ajali ya ndege wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa
Jenerali Mabeyo Msasani Jijini Dar es salaam leo sept 25,2019.




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aktia saini kitabu cha
maombolezo mkufuatia kifo cha mtoto wa Mkuu wa Majeshi Nchini Jenerali
Mabeyo kutokana na kufiwa na Mtoto wake aliyepatata ajali ya ndege
wakati Makamu wa Rais alipofika Nyumbani kwa Jenerali Mabeyo Msasani
Jijini Dar es salaam leo sept 25,2019.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za Mwisho
mbele ya Jeneza lenye Mwili wa Nelson Vennas Mabeyo Mtoto wa Mkuu wa
Majeshi Nchini Jenerali Vennas Mabeyo aliyefariki kutokana na ajali ya
Ndege, Hafla hiyo imefanyika leo Sept 25,2019 nyumbani kwa Jenerali
Mabeyo Msasani Jijini Dar es salaam.
0 comments:
Post a Comment