Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifurahia baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ilula
wilayani Kilolo, Septemba 27, 2019. Kushoto ni mkewe Mary, kulia ni
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Jasephat Kandege, wa pili
kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy na wa pili kushoto ni Mbunge
w Kilolo, Venance Mwamoto.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ilula wilayani Kilolo,
Septemba 27, 2019. Kushoto ni mkewe Mary, kulia ni Naibu Waziri wa Nchi,
Ofisi ya Rais TAMISEMI, Jasephat Kandege, wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Iringa, Ally Happy na wa nne kushoto ni Mbunge wa Kilolo, Venance
Mwamoto.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza baada ya kuweka jiwe la msingi la mradi wa maji wa Ilula
wilayani Kilolo Septemba 27, 2019. Wa pili kulia ni mkewe Mary, wa pili
kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Iringa, Ally Happy na kushoto ni Mkuu wa
wilaya ya Kilolo, Asia Abdallah. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment