
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikagua ukarabati wa majengo ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi cha
Ilula akiwa katika ziara ya wilaya ya Kilolo, Septemba 27, 2019. Kushoto
kwa Waziri Mkuu ni Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na
Tekinoloji, Dkt. Avemaria Semakafu na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa,
Ally Happy. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment