Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitembelea kiwanda cha maziwa cha ASAS
cha mjini Iringa akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo Septemba 25,
2019. Kushoto ni Mkugenzi Mtendaji wa Makampni ya ASAS na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri na
katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho, Fuad Abri
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakitazama mitambo ya
kusindika maziwa na bidhaa zake wakati walipotembelea kiwanda cha
maziwa cha ASAS cha mjini Iringa, Septemba 25, 2019. Wengine kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Elisante
Ole Gabriel, Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya ASAS na Mjumbe wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wa Mkoa wa Iringa, Salim Abri, Waziri
wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na wanne kushoto
ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda hicho, Fuad Abri na wa pili kulia ni
Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Ally Happy.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza na Balozi wa
bidhaa za maziwa za ASAS na Msanii maarufu nchini, Mai Zumo wakati
walipotemblea kiwanda cha maziwa cha ASAS cha mjini Iringa, Septemba 25,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment