Kaimu Mkurugenzi Idara ya
Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu, Aristides Mbwasi, akilishwa keki na
aliyekuwa Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji , Cleophas Ruhumbika ambaye
amestaafu, wakati wa kumpongeza kwa kustaafu utumishi wake wa Umma leo,
tarehe 21, Septemba, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera na Uratibu)Bi. Dorothy Mwaluko, akilishwa keki na aliyekuwa
Mkurugenzi Idara ya Uwekezaji , Cleophas Ruhumbika ambaye amestaafu,
wakati wa kumpongeza kwa kustaafu rasmi utumishi wake wa Umma leo,
tarehe 21, Septemba, 2019.
Baadhi ya Watumishi Ofisi ya
Waziri Mkuu wakifuatilila tukio la kumuuga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi
Idara ya Uwekezaji , Cleophas Ruhumbika ambaye amestaafu, wakati wa
kumpongeza kwa kustaafu utumishi wake wa Umma rasmi, leo, tarehe 21,
Septemba, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera na Uratibu), Dorothy Mwaluko akieleza jinsi aliyekuwa Mkurugenzi,
Idara ya Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu, Cleophas Ruhumbika, (kushoto
kwake) anapaswa kuwa mfano wa kuigwa katika kuchapa kazi kwa ufanisi na
weledi, wakati wa kumpongeza kwa kustaafu rasmi utumishi wake wa Umma
leo, tarehe 21, Septemba, 2019.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera na Uratibu), Bi. Dorothy Mwaluko akimkabidhi zawadi aliyekuwa
Mkurugenzi, Idara ya Uwekezaji Ofisi ya Waziri Mkuu Cleophas Ruhumbika,
ambayo ni Picha yake aliyochorwa mstaafu huyo , wakati wa kumpongeza
kwa kustaafu utumishi wake wa Umma leo, tarehe 21, Septemba, 2019.
0 comments:
Post a Comment