Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth
Magufuli, Mama Marry Majaliwa (Mke wa Waziri mkuu Mhe. Kassim Majaliwa)
pamoja na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu
Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu
Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na
Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba 01,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisali katika Misa
Takatifu Dominika ya 22 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam. Ibada
iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Dkt. Alista Makubi, Septemba
01,2019.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment