Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa
Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu
ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani
Simiyu leo Ogast 01,2019.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mkakati Maalum
wa kupambana na Hasara zitokanazo na mambo ya kilimo kwenye Uzinduzi wa
Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya
Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo
Mhe. Japhet Hasunga, na kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Mpango Mkakati
Maalum wa kupambana na Hasara zitokanazo na mambo ya kilimo baada ya
kuuzindua kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane
nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast
01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, na kushoto Mkuu
wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kutoka
kwa Mkuu wa Kikosi cha Kilimo cha JKT Luteni Canali Rushika
alipotembelea katika mabanda ya maonesho kwenye Maadhimisho ya Sikukuu
ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani
Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga,
na kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.
0 comments:
Post a Comment