Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya
Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye hoteli
ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako anatarajiwa
kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini
humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John
Kambona.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki,
Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama
Bay nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako anatarajiwa kushiriki kwenye
mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni
Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John Kambona.(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na baadhi ya maofisa wa serikali ya Tanzania wakati
alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26, 2019,
amabako anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara
ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment