Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akizungumza na
Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale katika mkutano wa
utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni
2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisisitiza jambo
wakati alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii na
Mambo ya Kale katika mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi
kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020
katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya
Habari,Utalii na Mambo ya Kale anayeshuhulikia Habari Dkt.Saleh Yussuf
Mnemo (wa pili kushoto) akitoa ufafanuzi wakati wa Mkutano wa Wizara
hiyo wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai
2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar leo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale
anayeshuhulikia Utalii na Mambo ya kale Dkt .Amina Ameir Issa (kushoto)
Baadhi ya Viongozi mbali mbali katika
Wizara ya Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakisimama wakati Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) alipoingia katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar
kabla kuanza Mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa
kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020
uliofanyika leo.
Baadhi ya Maafisa katika Wizara ya
Habari,Utalii na Mambo ya Kale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
wakati alipokuwa akizungumza na Ungozi wa Wizara hiyo leo katika
Mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai
2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar. [Picha na Ikulu.
0 comments:
Post a Comment