

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiongoza kikao cha utekelezaji wa haraka wa maagizo ya Rais Dkt. John
Pombe Magufuli kuhusu mradi wa kufua Umeme wa mto Rufiji, kilichofanyika
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu jijini Dar Es Salaam, Julai 31,
2019 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment