Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT),
Gaudencia Kabaka wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kigoma
kufungua Kongamano la Wananwake Kitaifa, kwenye uwanja wa Lake
Tanganyika mjini Kigoma, Julai 13, 2019. Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga na wapili kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma, Amandus Dismas Nzamba.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Lake Tanganyika
mjini Kigoma kufungua Kongamano la Wanawake (UWT) kitaifa, Julai 13,
2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment