
Baadhi ya Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi wakifuatilia
hotuba za ufunguzi wa mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la
Hifadhi za Taifa (TANAPA), leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza



Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Dkt.
Allan Kijazi akiongea na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi
katika mkutano wa Mwaka ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa
(TANAPA) ambapo alieleza mpango wa Shirika hilo kuweka mkazo katika
kuzifungua kanda za Kusini, Magharibi na kaskazini-Magharibi na
tunaamini linawezekana, lengo ni kuhakikisha tunasaidia kukuza uchumi wa
nchi, leo Julai 4, 2019 Mkoani Mwanza

Kamishna Msaidizi Mwandamizi Mawasiliano -TANAPA,Pascal Shelutete akiongea
na Wahariri na Waandishi wa Habari Waandamizi katika mkutano wa Mwaka
ulioandaliwa na Shirika la Hifadhi la Taifa (TANAPA), Leo Julai 4, 2019
Mkoani Mwanza
0 comments:
Post a Comment