Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Mbulu Vijijini, Flatei Massay, kwenye viwanja
vya Bunge jijini Dodoma, Juni 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo, Bungeni jijini
Dodoma, Juni 17, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu
anayeshughulikia masala ya Watu Wenye Ulemavu, Stella Ikupa (kushoto)
akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,
Juliana Shonza, Bungeni jijini Dodoma, Juni 17, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika, Stephen Masele kwenye
viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 17, 2019. Wa pili kushoto ni
Mbunge wa Viti Maalum, Latifa Chande. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment