Kampuni ya simu ya TECNO mobile inawakaribisha wateja wake kununua simu mpya iliyozinduliwa hivi karibuni aina ya TECNO SPARK 3 na kujishindia zawadi kemkem ikiwemo pikipiki mpya.
Promotion hiyo iliyopewa jina la boda la
spark 3 inaanza kwa mkoa wa dar es salaam kisha kuenea mikoa mingine
hapo baadae, mteja atakaenunua TECNO spark 3 kwenye maduka maalumu ya
TECNO yenye promotion hiyo atapewa nafasi ya kuondoka na zawadi za papo
kwa papo kama power bank yenye mAh 5000 na pamoja data cable,
TECNO Spark 3 ni simu ya kijanja yenye
uwezo mkubwa wa kupiga picha pamoja na kufanya vitu mbali mbali
mitandaoni imezinduliwa takribani mwezi mmoja ikiwa ndio simu
inayofanya vizuri zaidi kwa upande wa simu janja za kipato cha kati.
TECNO SPARK 3 ina ubora wa kamera yenye
megapixel 13, huku mtumiaji anapata nafasi ya kuifadhi vitu vyake kwenye
GB 16 za memory ya ndani na muonekano wake ni wakijanja na ndio maana
inafanya vizuri sokoni,
Mshindi wa pikipiki atapatikana mwisho wa
mwezi wa sita kwa njia ya bahati nasibu itakayo chezeshwa live kupitia
mitandao ya kijamii ya TECNO mobile hasa Instagram
Fiika maduka ya TECNO yafuatayo ili
kushinda zawadi kemkem unaponunua simu hii ya SPARK 3, TECNO exclusive
mobimart , TECNO exclusive mashreq, TECNO excuslive inorbit, TECNO
exclusive hyatt, TECNO smart hub china plaza, maduka haya yanapatikana
msimbazi kariako na mtaa wa agrey lakin kwa upande wa mtaa sa samora
posta lipo duka TECNO Experience centre huku upande wa mlimani Duka la
TECNO smart hub,
0 comments:
Post a Comment