Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimuapisha Bw. Charles Kichere kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe
Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
pamoja na waalikwa akishuhudia Jaji mstaafu, Harold Nsekela ambaye ni
Kamishna wa Maadili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma akiwalisha kiapo
cha Maadili ya Viongozi wa Umma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.
Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles
Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin
Mhede Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipokea
mfano wa hundi ya dola milioni moja za Kimarekani toka kwa Mwenyekiti
wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal ukiwa kama mchango wake binafsi kwa
ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Uhuru, Ihumwa, Dodoma kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akishuhudia Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango akipokea
mfano wa hundi wa Shilingi Bilioni 3 zikiwa ni Fidia kwa serikali ya
miezi mitatu kwa hesabu ya shilingi bilioni moja kwa kila mwezi ya
Kampuni ya Airtel kwa Serikali toka kwa Mwenyekiti wa Bharti Airtel
Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
leo Jumatatu Juni 10, 201
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akimshukuru Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwa kutoa
dola milioni moja kama mchango wake binafsi kwa ajili ya ujenzi wa
Hospitali ya Uhuru, Ihumwa, Dodoma pamoja na shilingi bilioni tatu za
Fidia ya mwezi miezi mitatu kwa hesabu ya shilingi bilioni moja kila
mwezi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo
Jumatatu Juni 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akihutubua baada ya baada ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara
Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw.
Charles Kichere na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Bw. Edwin Mhede na kushuhudia kupokewa shilingi bilioni 3 kama Fidia
ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na dola milioni moja mchango
binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal kwenye hafla
iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni 10, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal baada
ya kuwaapisha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Lugha
Bashungwa, Katibu Tawala wa Mkoa wa Njombe Bw. Charles Kichere na
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Edwin Mhede na
kushuhudia kupokewa kwa Fidia ya kila mwezi ya kampuni ya Airtel na
mchango binafsi wa Mwenyekiti wa Bharti Airtel Bw. Sunnil Mittal
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Juni
10, 2019
A10 n1 a11: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
magufuli akimuapisha Bw. Innocent Lugha Bashungwa kuwa Waziri wa
Viwanda na Biashara Kichere Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu
Juni 10, 2019
0 comments:
Post a Comment