Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(Kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya
Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), Mhe. Ibrahim Kaduma
alipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya
Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), Mhe. Ibrahim Kaduma
alipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
(kushoto) akizungumza na viongozi wakuu kutoka Taasisi ya Kidini ya
Kingdom leadership Network Tanzania (KLNT), walioongozwa na Mwenyekiti
wa Bodi
0 comments:
Post a Comment