
MKUU Mpya wa Kikosi cha Valantia
Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna akipitia Hati ya kiapo kabla
ya kuaza kwa hafla hiyo.(Picha na Ikulu)

WAKUU wa Vyombo vya Ulinzi na
Usalama wakihudhuria hafla ya kuapishwa kwa Mkuu Mpya wa Kikosi cha
Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo
imefanyila leo Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MAKAMU wac Pili wa Rais wa
Zanziubar Mhe.Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Bara la Wawakilishi
Zanzibar, Mhe. Zuberi Ali Maulid na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Said Hassan Said na Viongozi wengine wa Sereikali wakihudhuria hafla ya
kuapishwa Mkuu wa Kikosi cha Valantia Zanzibar KVZ Major Said Ali Juma
Shamuhuna, hafla hiyo imefanyika leo 21-6-2019 Ikulu Zanzibar.(Picha na
Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mkuu wa
Kikosi cha Valantia Zanzibar Major Said Ali Juma Shamuhuna, hafla hiyo
imefanylia leo katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar.21-6-2019.(Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment