
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia
Uwekezaji, Angela Kairuki, Bungeni jijini Dodoma Juni 20, 2019. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe, Bungeni jijini
Dodoma Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla,
Bungeni jijini Dodoma, Juni 20, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
0 comments:
Post a Comment