Rais
wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi mchezaji mpya, Eden Hazard
jezi ya klabu hiyo wakati wa utambulisho wake leo Uwanja wa Santiago
Bernabeu mjini Madrid baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni
Milioni 150 kutoka Chelsea Mbelgiji huyo akisaini mkataba wa miaka
mitano kwa mshahara wa Pauni 400,000 kwa wiki PICHA ZAIDI SOMA HAPA
Thursday, June 13, 2019
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
Wahitimu wa kidato cha nne shule ya kiislamu ya sekondari Kakangaga wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa mahafali ya 9, kabla ya kuingia...
-
Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro (kulia) akizungumza na wananchi wakati wa utatuzi wa mgogoro wa Ardhi baina ya kata mbili za Dung'un...
-
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda. Na Mashaka Kibaya, Tanga. MWENYEKITI wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Tai...
Powered by Blogger.

0 comments:
Post a Comment