Rais
wa Real Madrid, Florentino Perez akimkabidhi mchezaji mpya, Eden Hazard
jezi ya klabu hiyo wakati wa utambulisho wake leo Uwanja wa Santiago
Bernabeu mjini Madrid baada ya kukamilisha uhamisho wake wa Pauni
Milioni 150 kutoka Chelsea Mbelgiji huyo akisaini mkataba wa miaka
mitano kwa mshahara wa Pauni 400,000 kwa wiki PICHA ZAIDI SOMA HAPA
No comments:
Post a Comment