METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, January 7, 2019

MWENYEKITI CCM MKOA WA MOROGORO AFUNGUA KIKAO KAZI CHA SECRETARIET ZA WILAYA




Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro Ndg Innocent Kalogeris leo tarehe 07, Januari 2019 amefungua kikao Kazi cha secretariet za wilaya ya Morogoro katika ukumbi wa mikutano wa CCM Mkoa.

Kikao hicho kimejumuisha watendaji wa chama na jumuiya zake kutoka wilaya zote nane (8) za mkoa huo.(Malinyi, Kilombero, Ulanga,Morogoro mjini, Morogoro vijijni, Gairo, Mvomero  na Kilosa)

Kwa mujibu wa katiba ya CCM  ibara ya 79  (1-3) uk 79 Secretariet ya wilaya inaundwa na 

- Katibu wa CCM wilaya
- Katibu wa siasa na  uenezi wilaya
- Makatibu wa jumuiya za CCM wa wilaya (UWT, Vijana na Wazazi)

Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com