METDO Tanzania

METDO Tanzania

Monday, October 15, 2018

FAMILIA YA MO DEWJI KUTOA TSH.BILIONI 1 KWA ATAKAYEFANIKISHA KUMPATA MO DEWJI


Familia ya Mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’, aliyetekwa siku ya Alhamisi na watu wasiojulikana, imezungumza na wandishi wa habari leo mchana na kutangaza kuwa zawadi ya Tsh. Bilioni Moja (1,000,000,000) itatolewa kwa mtu yeyote ambaye atatoa taarifa ambazo zitawezesha kupatikana kwa Mohammed Dewji.
Mwenye taarifa anaweza kuwasiliana na mwanafamilia Murtaza Dewji kwa namba 0755030014, 0717208478 na 0784783228.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com