METDO Tanzania

METDO Tanzania

Sunday, June 10, 2018

FUTARI YA PAMOJA DMV

 WaTanzania wa DMV wakiwasili kwenye futari ya pamoja inayoandaliwa na Jumuiya ya Kiislamu DMV(TAMCO) wakati wa mfungo wa mwezi wa ramadhan. Hii ilifanyika siku ya Jumamosi June 9, 2018 Silver Spring, Maryalnd. Picha na Vijimambo na Kwanza production chini ya udhamini wa Kilimanjaro Studio.
WaTanzania waliojumuika pamoja na marafiki zao wakipata ukodak moment kwenye futari ya pamoja.


Rich Maka kutoka Massachusetts (kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa TAMCO DMV Ally Mohammed wakati wakisubili muda wa futari ufike.
Sala ya magharib ikifanyika.
Sala ya magharib ikiendelea siku ya Jumamosi June 9, 2018 katika futari ya pamoja inayokuwa imeandaliwa na TAMCO katika kila mwezi mtukufu wa Ramadhan.
WaTanzania na marafiki zao wakipata futari.
Futari ikiendelea
Kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com