METDO Tanzania

METDO Tanzania

Tuesday, April 3, 2018

DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UJUMBE WA CHUO CHA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE

DSC_0432
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo
DSC_0476
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe aliofuatana nao leo
DSC_0462
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulioongozwa na Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya (wa pili kulia) wakati alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na  aliofuatana nao leo
DSC_0434
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na baadhi Viongozi wa  Ujumbe wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere ulipofika Ikulu Mjini Zanzibar  leo chini ya kiongozi wake Mwenyekiti wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Prof Mark J.Mwandosya (katikati),[Picha na Ikulu.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com