Ni katika viunga vya Hospitali ya Rufaa Bugando Jijini Mwanza ambapo Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kimetoa fursa kwa wanchi kupata huduma ya tiba ya viungo na ushauri bure. Mganga Mkuu Mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonard Subi akifungua kongamano hilo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe.John Mongella.
Rais wa Chama cha Watoa Tiba kwa Vitendo Tanzania TOTA, bI.Neophita Lukiringi akizungumza kweny uzinduzi huo.
Wednesday, November 29, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
📌 Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia 📌 Atak...
-
Mvua kubwa za El-Nino zilizonyesha zimeleta athari maeneo mbalimbali...
-
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa MOI, Dkt. Respicious Boniface akizungumza na Waandishi wa Habari (ha...
-
Waziri wa kilimo Mhe Japhet Hasunga akikagua ghala la kuhifadhia mbegu la Wakala wa Mbegu (ASA) katika ziara yake ya kikazi mkoani Morogo...
-
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu) Jenista Mhagama akisalimiana na baadhi ya Viongo...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment