Katibu Msaidizi Tume ya
Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee katika Makazi ya
wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa
Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa
Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Sehemu ya wazee katika Makazi
ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara
wakimsikiliza katibu Msaidzi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes
Mgeyekwa.
Katibu Msaidizi Tume ya
Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi zawadi ya Sabuni Mkuu
wa Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange iliyopo Butiama mkoani Mara
Bw. Edward Mbaga wakati Tume ikifanya Utafiti mkoani humo. Kushoto ni
Mhadhiri Msaidizi Chuo cha Ustawi wa Jamii Bw. Paulo Mwangosi
Katibu Msaidizi Tume ya
Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee wa Makazi ya
wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa
Tume ilipotembelea makazi hayo ikiwa ni sehemu ya Utafiti wa Mfumo wa
Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Sehemu ya Makazi ya Wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara.
Katibu Msaidizi Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania Bi. Agnes Mgeyekwa akisisitiza jambo wakati
akizungumza na uongozi wa kituo cha kulelea watoto cha Jipe Moyo
kilichopo Musoma mkoani Mara. Katikati ni mratibu wa kituo hicho sister
Annunciata Chacha
Katibu Msaidizi Tume ya
Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akimkabidhi zawadi ya Sabuni na
Juisi Mratibu wa Kituo cha Kulelea Watoto cha Jipe Moyo Sister
Annunciata Chacha wakati Tume ikifanya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa
Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania.
Katibu Msaidizi wa Tume ya
Kurekebisha Sheria Bi Agnes Mgeyekwa (wa tatu kushoto) na ujumbe wake
wakiwa katika picha ya pamoja na watoto wanaolelewa katika Kituo cha
Jipe Moyo kilichopo Musoma mkoani Mara wakati Tume ikiendesha Utafiti wa
Mfumo wa Kisheria wa Huduma za Ustawi wa Jamii Tanzania. Kushoto ni
Mratibu wa Kituo hicho Sister Annunciata Chacha.
Katibu Msaidizi Tume ya
Kurekebisha Sheria Tanzania Bi Agnes Mgeyekwa akisalimiana na mmoja wa
watoto wanaolelewa katika kituo cha Jipe Moyo kilichopo Musoma mkoani
Mara wakati Tume ikifanya Utafiti wa Mfumo wa Kisheria wa Huduma za
Ustawi wa Jamii.
0 comments:
Post a Comment