Mkurugenzi wa Idara ya Habari
(MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
nakala ya Jarida la Nchi Yetu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya
Serikali (TSN) Dkt. Jim Yonaz alipotembelea Ofisi za Idara hiyo leo
Jijini Dar es Salaam. Jarida hilo nit oleo maalum la mwezi Novemba
ambalo limeangazia miaka miwili ya uongozi wa Rais Dkt, John Pombe
Magufuli.
Picha na: MAELEZO
0 comments:
Post a Comment