Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi na Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Idara ya
Oganaizesheni Pereila Silima wakiwasili ukumbini tayari kwa ajili ya
kusimamia Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya
Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17,
2017.
Wajumbe na waalikwa wakishangilia baada ya viongozi wa meza kuu kuwasili ukumbini kuanza Kikao
cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa,
kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.
Wajumbe na waalikwa wakishangilia baada ya viongozi wa meza kuu kuwasili ukumbini kuanza Kikao
cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa,
kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.
Wajumbe na waalikwa wakishangilia baada ya viongozi wa meza kuu kuwasili ukumbini kuanza Kikao
cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa,
kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.
Katibu
Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) na Katibu wa NEC
Oganaizesheni Pereila Silima wakifurahi baada ya kuwasili ukumbini
Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi akitoa maelezo ya awali kuanza kikao hicho
"kikao hiki tutakiendesha kwa mujibu wa Katiba yetu hii ya UWT..." anafafanua Amina Makilagi
Makilagi
akitangazia wajumbea kumchagua Mwenyekiti wa muda wa kuendesha kikao
hicho. Mwenyekiti wa muda ilibidi achaguliwe kutokana na aliyekuwa
Mwenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba, kuvuliwa uongozi kutokana na
kupatikana na hatia ya kuisaliti CCM wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita.
Wajumbea wakipiga kura za kunyoosha mikono kuchagua Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho
Wajumbea
wakipiga kura za kunyoosha mikono kuchagua Mwenyekiti wa muda wa kikao
hicho ambapo walimchagua Diana Chilolo kutoka Singida
Diana Chilolo akienda meza kuu
Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi akiwa amesimama kumlaki meza kuu Diana Chilolo
Diana Chilolo akikaribishwa meza kuu
Katibu
wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima (kushoto) akiwa amesimama baada ya
kutambulishwa kwa wajumbe na Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi (kulia),
Utambulisho huo ulifanyika baada ya Mweneyekiti wa muda wa kikao hcho
Dina Chilolo (katikati) kuketi.
Wajumbe wakiwa ukumbini
Wajumbea wakiwa ukumbini
Wajumbea ukumbini
Kikao kikianza kushika kasi
Mama Makilagi akiendelea kutoa maelezo na kumkaribisha mwenyekiti wa muda wa kikao hicho kuzungumza
Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo akizungumza
Mama Makilagi akiendelea kuzungumzia hatua nyingine za kikao hicho baada ya kukaribishwa na Mwenyekiti wa muda kufanya hivyo
Mama Makilagi akiendelea kuzungumza
Mama
Makilagi akitambulisha wajumbe na walikwa kina mama ambao wamepewa
nyadhifa mbalimbali na Rais Dk. John Magufuli hivi karibuni ambapo
alimshukuru Rais kwa kuendelea kuwapa nafasi za uongozi wanawake.
Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Watoto katika Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar aliyeteuliwa hivi karibuni Shadya Mohammed Silima
akisalimia baada ya kutambulishwa
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma akisalimia alipotambulishwa katika kikao hicho.
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho
Kikao kikiendelea baada ya baadhi ya viongozi kukaribishwa meza kuu
Taswira ya kikao hicho ndani ya kumbini, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. PICHA ZAIDI-BOFYA HAPAWednesday, October 18, 2017
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
KARIBU TUME YA MAENDELEO YA USHIRIKA
Popular Posts
-
Katibu Mkuu wa Wizara ya kilimo Mhandisi Mathew Mtigumwe Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya kilim...
-
π Asema Rais, Dkt. Samia anafanya kazi kubwa ya kuwaunganisha Watanzaia π Atak...
-
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Forum for Democratic Change (FDC) nchini Uganda Kizza Besigye amekamatwa tena na maafisa wa polisi. ...
-
WazoHuru - Simiyu Mkuu wa mkoa wa Simiyu, Mhe. Kenani Kihongosi, leo tarehe 18 Februari, 2025 amezindua rasmi zoezi la usambazaji wa mitung...
Powered by Blogger.
0 comments:
Post a Comment