Mkurugenzi wa kituo cha Utafiti wa kilimo cha TARI Uyole Dkt Dennis Tippe amewataka watafiti wa kilimo wa vituo vya Uyole na Kifyulilo mkoani Iringa kutumia mkutano wa kuangalia mafanikio na malengo ya mwaka unaofuata kwa vutuo ivyo (IPR)
Dkt Tippe amesema serikali imetoa majukumu kwa kila kituo kuakikisha kinawasaidia wakulima katika kujikita na tafiti za mazao mbali mbali ambazo zitaweza kuwakwamua wakulima kiuchumi.
Kwa upande wake meneja wa kituo cha TARI Kifyulilo Dkt Charles Chuwa amesema kuwa katika kikao hicho kitawasaidia sana kujijenga zaidi katika tafiti mbali mbali za kilimo.
Kikao cha wataalam wa kilimo kitadumu kwa siku mbili hapa jijini mbeya .
0 comments:
Post a Comment