METDO Tanzania

METDO Tanzania

Friday, October 27, 2017

KATIBU MKUU MPYA WIZARA YA ARDHI APOKELEWA KWA SHANGWE

1
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kushoto) akipokelewa na baadhi ya viongozi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
2
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kulia) akipokelewa na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
3
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimpokea kwa shangwe Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika baada ya kuwasili katika ofisi za Wizara ya Ardhi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
4
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika (Kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu Dkt. Moses M. Kusiluka wakati akiongea jinsi alivyojipanga kufanya kazi na watumishi wa Wizara ya Ardhi mara baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
5
Baadhi ya wafanyakazi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bibi Dorothy Mwanyika wakati akiongea nao baada ya kuapishwa na kuwasili katika ofisi za Wizara ya Ardhi zilizopo kanda ya Dar es salaam.
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com