Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Hassan
Khatib akizungumza na Maafsa Habari wa Taasisi mbalimbali za Serikali
kuhusiana na Utoaji wa Habari za maendeleo katika Taasisi zao kikao
kilichofanyika Baraza la Wawakilishi la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar.
Afisa wa Habari kutoka Ofisi ya Mtakwimu
mkuu wa Serikali Salama Njani akitoa mchango wake katika kikao cha
maafsa habari kutoka Taasisi mbalimbali kuhusiana na Utoaji wa Habari za
maendeleo katika Taasisi zao kikao kilichofanyika Baraza la Wawakilishi
la Zamani Kikwajuni mjini Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR
0 comments:
Post a Comment